1. main content
  2. main navigation
  3. extra content
  4. head navigation
  5. search
  6. Choose form 30 Languages


 

Masuala ya Jamii | 05.09.2008

Mawaziri wa Maji wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakutana nchini Kenya kujadili Ziwa Viktoria

Ziwa Viktoria

Nchini Kenya mawaziri wa maji kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wamefanya mkutano mjini Nairobi hii leo kujadilia makubaliano ya Mto Victoria. »

 

Masuala ya Jamii | 03.09.2008

Misaada bora ya maendeleo

Mkutano wa jinsi ya kutumiwa bora misaada ya maendeleo na usawa wa kijinsia Accra. »

 

Masuala ya Jamii | 03.09.2008

Mkutano wa ushirikiano wa maendeleo.

katikati , Waziri wa Ujerumani Heidemarie Wieczorek Zeul anaeshuhgulikia ushirikiano wa maendeleo.

Wajumbe zaidi ya 1000 kutoka nchi wafadhili na wapokeaji misaada wanaendelea na mkutano wao mjini Accra-Ghana kujadili njia za kuimarisha ushirikiano wa maendeleo. »

 

Masuala ya Jamii | 01.09.2008

Nafasi za ajira 9,000 kupunguzwa hapa Ujerumani

Makao makuu ya benki ya Commerzbank (kushoto) na benki ya Dresdner yaliyozinduliwa mjini Frankfurt

Je kuungana kwa benki ya Commerzbank na Dresdner kutainufaisha Ujerumani huku nafasi za ajira 9000 zikikaribia kupunguzwa?  »

 

Masuala ya Jamii | 01.09.2008

Steinbrueck apongeza kuungana kwa benki mbili za Ujerumani

Waziri wa fedha wa Ujerumani Peer Streinbrueck

Hisa zashuka kwenye soko la hisa la Frankfurt na nafasi 9,000 za ajira kupunguzwa »

 

Search

Archive

Title

 

 


 
Picture of the Day
ImageOfTheDay

DW-TV EUROPE live

Im Focus - Die Bergretter - Folge 5