Deutsche Welle sasa inajisogeza karibu nawe na ili uchangie maoni yako kwa kile unachokisikia kwenye matangazo yetu ya mchana na jioni kutoka Jumatatu hadi Ijumaa kwa kuwa maoni yako ni muhimu sana kwetu.
Kuwa mmoja kati ya watuamiaji wa simu za mkononi nchini Tanzania wanaopokea habari muhimu juu ya mambo yanayotokea ulimwenguni kupitia ujumbe mfupi wa SMS kila siku moja kwa moja kutoka Deutsche Welle.