1. main content
  2. main navigation
  3. extra content
  4. head navigation
  5. search
  6. Choose form 30 Languages


 

Matukio muhimu | 09.05.2008

Mgogoro wapamba moto Lebanon-mapigano yazuka mitaani

Kiongozi wa Hezbollah, Hassan Nasrallah

Saudi Arabia imeitisha kikao cha dhararu cha mawaziri wa mambo ya nje wa nchi za kiarabu kujadili hali inayoikabili Lebanon. »

 

Habari

Mji wa Beirut wakosa watu wakati wafuasi wa Hezboullah wakithibiti sehemu ya magharibi ya mji huo.

Beirut.


Rais  wa  Syria  Bashar al-Assad  ameueleza  mzozo wa  kisiasa  nchini  Lebanon  kuwa  ni  suala  la ndani  ya  nchi  ... »

More news

Matukio ya Kisiasa | 09.05.2008

WFP yasema sasa itaendeleza safari zake za misaada Mynmar Jumamosi


Picha hii ambayo imetolewa na Voice of Burma inaonyesha mtawa wa Kibudha akisubiri kupewa chakula , May 6, 2008,kufuatia kimbunga  Nargis. Msaada wa kimataifa umeanza kuwasili japo msaada wa WFP unazuiliwa na utwala wa kijeshi.Hata hivyo WFP imekubali kuendeleza safari za misaada Jumamosi.

Ilikuwa imesitisha kusitisha kutokana na kuzuiliwa kwa msaada wake mjini Rangoon »

 

Magazetini | 08.05.2008

Magazetini Ujerumani

Miongoni mwa mada zilizogonga vichwa vya habari katika magazeti ya Ujerumani ni uamuzi wa Mahakama Kuu kuhusu wanajeshi wa Kijerumani na ndege za AWACS na sherehe za kuadhimisha miaka 60 tangu kuundwa taifa la Israel. »

 

Michezo | 09.05.2008

Michuano ya ligi kuu ya soka Ujerumani Bundesliga kufikia ukingoni Jumamosi na bingwa wa soka Uingereza kujulikana Jumapili.

Timu ya Manchester United pichani inawania kuwa bingwa wa soka nchini Uingereza kwa mara ya 17.

Wakati ligi kuu ya Ujerumani Bundesliga inalenga nafasi kushiriki kombe la UEFA na kukwepa kushuka daraja bingwa wa soka nchini Uingereza aidha itakuwa Manchester United au Chelsea. »

 

Masuala ya Jamii | 08.05.2008

Ghasia zazuka katika kambi ya wakimbizi ya Kakuma nchini Kenya

Nchini kenya ghasia zinaripotiwa kutokea katika kambi ya wakimbizi ya Kakuma iliyo kaskazini mwa nchi. »