1. main content
  2. main navigation
  3. extra content
  4. head navigation
  5. search
  6. Choose form 30 Languages


 

Matukio ya Kisiasa | 16.05.2008

Mkutano wa Umoja wa Vyama vya Kiliberali duniani wafanyika mjini Belfast,Ireland

Mwenyekiti wa chama cha CUF Profesa Ibrahim Lipumba yuko Belfast,Ireland Kaskazini

Huko mjini Belfast Ireland ya Kaskazini, kunafanyika mkutano wa Umoja wa Vyama Vya Kiliberali duniani, ambapo wajumbe kutoka takriban vyama 100 kutoka sehemu mbalimbali duniani wanahudhuria.  »

 

Matukio ya Kisiasa | 16.05.2008

Mashirika yasiokuwa ya kiserikali yapinga teknologia mpya ya GMO

Mmoja wa wanahakati wa kulinda mazingira Vandana Shiva kutoka India ambaye amehudhuria kikao cha Umoja wa Mataifa mjini Bonn Ujerumani

Mwanaharakati wa India Vandana Shiva amesema utafiti kuhusu teknologia ya GMO inayomaanisha kuboresha mimea na mbegu kwasababu ya mazao makubwa inaingizwa kwa lazima duniani »

 

Matukio ya Kisiasa | 16.05.2008

Kituo cha Sheria Zanzibar cha laani kukamatwa kwa watu wa Pemba waliowasilisha waraka kwa Umoja wa Mataifa

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC)Visiwani Zanzibar kimelaani hatua ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kuwakamata watu waliowasilisha waraka kwa Umoja wa Mataifa wakitaka kisiwa cha Pemba kijitenge na kuwa huru. »

 

Matukio ya Kisiasa | 16.05.2008

Ziara ya Kiongozi wa kidini wa Tibet Dalai Lama Ujerumani

Dalai Lama akizungumza na Waziri mkuu wa  Mkoa wa North Rhine Westphalia  Juergen Ruettgers .

Mivutano baina ya wanasiasa wa vyama vinavyounda katika serikali kuu mjini Berlin kuhusu ziara hiyo »

 

Matukio ya Kisiasa | 16.05.2008

Bush katika Bunge la Israel-Knesset

Rais George Bush wa Marekani akilihutubia Bunge la Israel-Knesset

Miaka 60 tangu kuundwa dola ya Israel, mambo mengi yamegeuka kuwa kweli, mambo ambayo mwanzoni yalionekana kuwa yasingweza kufanyika. »

 

Search

Archive

Title