Michezo | 09.05.2008
Michuano ya ligi kuu ya soka Ujerumani Bundesliga kufikia ukingoni Jumamosi na bingwa wa soka Uingereza kujulikana Jumapili.

Wakati ligi kuu ya Ujerumani Bundesliga inalenga nafasi kushiriki kombe la UEFA na kukwepa kushuka daraja bingwa wa soka nchini Uingereza aidha itakuwa Manchester United au Chelsea. »Mehr zu: title"
Michezo | 02.05.2008
Sports: Chelsea na Manchester United sasa zapigania ubingwa wa Uingereza

Baada ya Champions League Chelsea na Manchester sasa zalitupia macho kombe la Premeir »Mehr zu: title"
Michezo | 30.04.2008
Livepool dhidi ya Chelsea katika nusu fainali Champions League

Je! Historia ya 2005 na 2007 itarudiwa? »Mehr zu: title"
Michezo | 25.04.2008
Michezo mwishoni mwa wiki

Kombe la klabu bingwa barani Afrika uwanjani na Bundesliga yazikutanisha mabingwa Stuttgart na viongozi wa Ligi B.Munich. »Mehr zu: title"
Michezo | 23.04.2008
Nusu-finali ya champions League
Baada ya jana Liverpool kuondoka sare bao 1:1 na Chelsea ,leo ni zamu ya FC Barcelona na Manchester United. »Mehr zu: title"






