1. main content
  2. main navigation
  3. extra content
  4. head navigation
  5. search
  6. Choose form 30 Languages


 

Masuala ya Jamii | 16.05.2008

Moto wa bomba la mafuta wachoma watu 100 mjini Lagos

Mama huyu analia baada ya bomba la mafuta kulipuka na kushika moto na kuwauwa  watu 260  mjini Disemba 26 mwaka 2006.Karibu miaka mitatu baadae tukio lingine kama hilo limetokea mjini Lagos katika mtaa wa Ijegun alhamisi 16.05.08 ambapo watu 100 wameuawa, wengi wao wakiwa watoto wa shule.

Wengi wawaliokufa walikuwa watoto wa shule iliokuwa karibu »

 

Masuala ya Jamii | 15.05.2008

Mabadiliko ya hali ya hewa, yachangia ukosefu wa maji safi na salama.

Raia wa Yangon wakijaza maji kwenye makontena ya maji.

Mkutano wa siku mbili kuhusu masuala ya Maji katika nchi wanachama wa Jumuiya ya maendeleo ya nchi za Kusini mwa Afrika -SADC, umefunguliwa jana mjini Maseru, Lesotho. »

 

Masuala ya Jamii | 10.05.2008

Rais Köhler asema ilikuwa ni aibu kwa Wajerumani kusheherekea kuunguzwa kwa vitabu

Rais Horst Köhler wa Ujerumani.

Rais Horst Köhler wa Ujerumani amesema kitendo cha Wajerumani kushangilia kuchomwa moto kwa vitabu wakati wa enzi ya Manazi ni cha aibu. »

 

Masuala ya Jamii | 08.05.2008

Ghasia zazuka katika kambi ya wakimbizi ya Kakuma nchini Kenya

Nchini kenya ghasia zinaripotiwa kutokea katika kambi ya wakimbizi ya Kakuma iliyo kaskazini mwa nchi. »

 

Masuala ya Jamii | 07.05.2008

Umhimu wa kujadili mzozo wa chakula katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

Nchi nyingi zinahitaji msaada wa chakula kutokana na dunia kukabiliwa na mzozo wa chakula.

Hoja zachemka kutaka suala la mzozo wa chakula duniani lijadiliwe na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. »

 

Search

Archive

Title