Kujifunza Kijerumani
Großansicht des Bildes mit der Bildunterschrift:
Bila ya kujali iwapo ndio unaanza, ama tayari unazungumza Kijerumani vizuri, ama kama hasa unatumia Kijerumani katika shughuli zako za kazi. Kozi za lugha ya Kijerumani zinazotolewa na Radio Deutsche Welle zina lengo la kuboresha uwezo wa kila mtu binafsi.
Feedback
German courses
Language Choice
Please choose your language:






