Matukio muhimu | 15.05.2008
Rais Bush ahutubia Knesset

Rais Bush ashirikiana na waisraelö kusherehekea miaka 60 tangu kuundwa taifa hilo na wapalastina kwa upande wao wanaikumbuka "Nakba"-siku ya msiba »Mehr zu: title"
Habari
Bush - Israel yaweza kuitegemea Marekani.
Jerusalem.
Rais Bush wa Marekani ameliambia bunge la Israel kuwa Marekani itasimama pamoja na Israel katika kuipinga ...
»Mehr zu: title"More news
Matukio ya Kisiasa | 16.05.2008
Mkutano wa Umoja wa Vyama vya Kiliberali duniani wafanyika mjini Belfast,Ireland

Huko mjini Belfast Ireland ya Kaskazini, kunafanyika mkutano wa Umoja wa Vyama Vya Kiliberali duniani, ambapo wajumbe kutoka takriban vyama 100 kutoka sehemu mbalimbali duniani wanahudhuria. »Mehr zu: title"
Audios and videos on the topic
Magazetini | 14.05.2008
Maoni ya wahariri

Katika maoni yao wahariri wa magazeti ya Ujerumani wanazungumzia juu ya maafa ya nchini China. »Mehr zu: title"
Michezo | 09.05.2008
Michuano ya ligi kuu ya soka Ujerumani Bundesliga kufikia ukingoni Jumamosi na bingwa wa soka Uingereza kujulikana Jumapili.

Wakati ligi kuu ya Ujerumani Bundesliga inalenga nafasi kushiriki kombe la UEFA na kukwepa kushuka daraja bingwa wa soka nchini Uingereza aidha itakuwa Manchester United au Chelsea. »Mehr zu: title"
Masuala ya Jamii | 16.05.2008
Moto wa bomba la mafuta wachoma watu 100 mjini Lagos

Wengi wawaliokufa walikuwa watoto wa shule iliokuwa karibu »Mehr zu: title"






