Picture

Livepool dhidi ya Chelsea katika nusu fainali Champions League

Kocha wa  Liverpool  Rafael Benitez,anakabiliwa na kibarua kigumu cha kuvunja daftari ya miaka mingi ya kutoifunga Chelsea nyumbani kwake Stamford Bridge.Liverpool na Chelsea wanakutana jumatano 30.04.08 London katika duru ya pili ya Champions League.

Close Window