Picture
WFP yasema sasa itaendeleza safari zake za misaada Mynmar Jumamosi
Picha hii ambayo imetolewa na Voice of Burma inaonyesha mtawa wa Kibudha akisubiri kupewa chakula , May 6, 2008,kufuatia kimbunga Nargis. Msaada wa kimataifa umeanza kuwasili japo msaada wa WFP unazuiliwa na utwala wa kijeshi.Hata hivyo WFP imekubali kuendeleza safari za misaada Jumamosi.