You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Kivuli cha Ukoloni wa Ujerumani
Matangazo
Masuala ya Jamii
Ruka sehemu inayofuata Habari Kuu
Habari Kuu
Zoezi la sensa Uganda laanza na malalamiko ya wafanyakazi
Matangazo
Ruka sehemu inayofuata Habari
Habari
10.05.2024
10 Mei 2024
Manusura wa jengo lililoanguka Afrika Kusini bado watafutwa
09.05.2024
9 Mei 2024
Watu 190 wamenusurika kwa ajali ya ndege nchini Uturuki
Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi
Ripoti na Uchambuzi
Utafiti: Ubaguzi wa rangi unachangia umaskini Ujerumani
Utafiti: Ubaguzi wa rangi unachangia umaskini Ujerumani
Ripoti ya shirika moja la utafiti la ujerumani imebainisha mwambato uliopo kati ya ubaguzi wa rangi na umaskini.
Benin kitovu cha utalii barani Afrika
Benin kitovu cha utalii barani Afrika
Je, umewahi kufikiria kuitembelea Benin? Nchi hii ndio chimbuko la dini ya Vodoo na tamasha kubwa la kila mwaka. Kuanzia jiji mahiri la Cotonou hadi kijiji kinachoelea majini cha Ganvie, 77 Asailimia inakupa sababu za kuitembelea Benin.
Rais Samia azindua mkakati wa nishati safi Tanzania
Rais Samia azindua mkakati wa nishati safi Tanzania
Uzinduzi huo unafanywa katika taifa ambalo limekuwa likikabiliwa mara kwa mara na tatizo la umeme.
Rais Museveni wa Uganda akutana na wafanyabiashara Kampala
Rais Museveni wa Uganda akutana na wafanyabiashara Kampala
Walichokipata pekee ni kuondolewa faini walizowekewa wale waliokuwa wamefunguliwa mashtaka ya kukataa kulipa kodi.
IRC: Mamilioni wakabiliwa na uhaba wa chakula Sahel
IRC: Mamilioni wakabiliwa na uhaba wa chakula Sahel
Idadi ya watu wanaokabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula katika ukanda wa Sahel imeongezeka.
Idadi ya vifo kutokana na mafuriko Kenya yaongezeka hadi 228
Idadi ya vifo vilivyosababishwa na mafuriko imefikia 228 na wengine 200,000 wameathirika.
Onesha zaidi
Ruka sehemu inayofuata Mtazamo wa kina
Mtazamo wa kina
Msichana Jasiri
Kila msichana ana nafasi sawa kuwa jasiri - Msichana Jasiri!
Msichana anayepigania kutokomeza ndoa za utotoni
Msichana anayepigania kutokomeza ndoa za utotoni
Mamilioni ya wasichana kila mwaka huathirika na ndoa za utotoni ambazo zinawakosesha haki ya msingi ya elimu, matatizo ya afya ya uzazi pamoja na kukosa malezi ya wazazi wao. Hayo ni maneno ya Jenniffer Fred, mwanaharakati aliyeamua kulivalia njuga na kusambaza elimu ili kutokomeza ndoa za utotoni. Na huyu leo ndio #msichana wetu #jasiri. #msichanajasiri #hakizawatoto #hakiyaelimu
Mwanaharakati wa haki za watoto wa mitaani Tanzania
Mwanaharakati wa haki za watoto wa mitaani Tanzania
Kundi la watoto wa mtaani ni kundi ambalo linaendelea kuongezeka kwa kasi huku watoto hawa wakiwa hawana elimu madhubuti kutokana na ukatili wanaokutana nao, lakini juhudi za wanaharakati wa masuala ya kijamii ni zipi katika kuhakikisha kuwa wanalisaidia kundi hili. Jackline Joseph ni mwanaharakati ambaye amejitolea katika kulisaidia watoto katika kuwapatia elimu dhidi ya ukatili.
Chipukizi wa muziki wa kizazi kipya
Chipukizi wa muziki wa kizazi kipya
Precious ni mwanamuziki chipukizi wa kizazi kipya kutoka Tanzania ambaye Uwezo wake wa kutumbuiza katika majukwaa umempa sababu ya kuwa mfano kwa watoto wengine. Anasema baba yake ndiye aliyempa msukumo mkubwa wa kunoa kipaji chake. #msichanajasiri.
Gundua zaidi
Matangazo
Ruka sehemu inayofuata Masuala maalumu na matukio
Masuala maalumu na matukio
DW Kiswahili inapatikana kupitia mtandao wa Instagram
Jielimishe zaidi
Ruka sehemu inayofuata Safari, maisha na zaidi
Safari, maisha na zaidi
Talanta na elimu ipi muhimu katika kutafuta nafasi za ajira?
Makala ya Vijana Mubashara inauliza je, kati ya talanta na elimu unafikiri ni kipi kinachostahili kuangaziwa zaidi katika kutoa nafasi za ajira hasa kwa vijana? Utawasikia vijana wakijadiliana kwa kina mada hii katika kipindi hiki. Jacob Safari amezungumza nao katika kipindi hiki cha vijana Mubashara, 77asilimia
Vijana na ushiriki wao wa densi katika mitandao ya kijamii
Kama wewe ni mtumiaji wa mitandao ya kijamii bila shaka hivi karibuni utakuwa umekutana na vidio chungu nzima za vijana wakicheza aina mbalimbali za miziki. Mitandao ya kijamii kama vile YouTube, Tiktok, Facebook na Instagram sasa imegeuka kuwa jukwaa la vijana kuonyesha umahiri wao wa kucheza muziki. Nini kinasababisha vijana kushiriki densi hizo?
Nini kinafanya vijana kuvalia mavazi ya kupitiliza msibani?
Hapo kale taarifa ya msiba ilipokuwa ikiwafikia wengi, kubwa lililokuwa likiwajia vichwani ni kuhakikisha wanafika ulipo msiba na kutoa msaada wa kufariji wafiwa. Lakini sasa hali ni tofauti vijana wana namna yao ya kufika msibani, wakiwa wamevalia kweli kweli. Suali ni je nani yupo nyuma ya mtindo huu wa maisha kwa vijana wa sasa. Vijana Mchakamchaka inaangazia hilo. mtayarishaji ni Hawa Bihoga
Matangazo